Monday, November 12, 2012

AJALI MBAYA ENEO LA TAZARA MATAA




ILIKUWA TAR 2 NOV SIKU AMBAYO LUTENI KANALI EZEKIEL MAYUNGA(RTD)-ADVOCATE ALIPATA AJALI MBAYA ENEO LA TAZARA MATAA MAJIRA YA SAA 5 USIKU!ALIGONGANA NA FUSO ,LAKINI BWANA NI MWEMA KWANI MZEE MAYUNGA ALITOKA MZIMA INGAWA ALIPATWA NA MAJERAHA ENEO LA KICHWANI!ALIKIMBIZWA HOSP YA TEMEKE NA ALFAJIRI ALIPELEKWA HOSP YA AGAKHAN KWA UCHUNGUZI ZAIDI!FAMILIA INATOA SHUKRANI SANA KWA WAUGUZI WA HOSP YA TEMEKE NA AGAKHAN PAMOJA NA JESHI KWA MSAADA WAO WA DHATI NA PIA MARAFIKI WOTE WALIOFIKA HOSP NA WALIOKUWA WAKIMUOMBEA MZEE MAYUNGA!

No comments:

Post a Comment