Friday, November 2, 2012
AJALI MBAYA TAZARA MATAA
SIKU YA TAR 2 NOV,2012 NI SIKU AMBAYO LUTENI KANALI EZEKIEL MAYUNGA(RTD)-ADVOCATE!ALIPATA AJALI MBAYA SANA ENEO LA TAZARA MATAA MAJIRA YA SAA 5 USIKU,WASAMALIA WEMA WALIMKIMBIZA HOSP YA TEMEKE NA BAADAE ALIKIMBIZWA HOSP YA AGAKHAN KWA MATIBABU ZAIDI!KWA HALI YA KAWAIDA UKIANGALIA GARI ILIVYO HARIBIKA UWEZI FIKIRIA KAMA MTU ANAWEZA KUTOKA HAI LAKINI BWANA NI MWEMA MZEE ALITOKA HAI NA SASA ANAENDELEA NA TIBA KTK HOSP YA AGAKHAN!FAMILIA YA MZEE MAYUNGA INATOA SHUKRANI ZA PEKEE KWA WALE WOTE WALIOSAIDIA KUOAKOA MAISHA YAKE!
Labels:
Uzuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment