Sunday, November 11, 2012

HIZI NDIO PICHA ZA HOTEL, MAKAO MAKUU YA CCM PAMOJA NA UKUMBI WA MIKUTANO INAYOTARAJIWA KUJENGWA DODOMA

 Picha zinazoonyesha Michoro ya Ukumbi,Ofisi za Makao makuu na Hotel ya nyota tano.
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein akiwasili eneo la Makulu kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za makao makuu, Ukumbi wa Mikutano na Hotel ya Hadhi ya nyota tano muda mfupi ulipita.

No comments:

Post a Comment