MAMA
wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa ametoa baraka zake kwa
mwigizaji chipukizi, Philemon Lutwaza ‘Uncle D’ ambaye anatarajia
kuigiza katika filamu ya After Death ambayo ni maalum kwa kumuenzi
marehemu mwanaye, Imelda Mtema anashuka nayo.
Akizungumza
na paparazi wetu juzikati, mama Kanumba ameweka plain kuwa ameridhishwa
na uwezo wa Uncle D na anaimani kuwa ataweza kuziba pengo la marehemu
katika nafasi ya kucheza na watoto wale aliokuwa akiigiza nao marehemu
No comments:
Post a Comment