ULINZI MKALI KATIKA KESI YA SHEIKH PONDA
Baadhi ya watuhumiwa na nduguzao wa karibu
wakikaguliwa kabla ya kuingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyopo
jijini Dar es Salaam jana kusikiliza shauri linalomkabili Kiongozi wa Jumuiya ya
Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda na wenzake 49.Hata hivyo shauri hilo
lilihairishwa hadi Novemba 29.
No comments:
Post a Comment