Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete Akisalimiana na mtoto aliyejitambulisha kwa jina la Kanoni anayetibiwa
katika hospitali ya CCBRT wakati alipoitembelea hospitali hiyo jana ambapo
alipokea msaada wa shilingi Bilioni nane kutoka Kampuni ya VODACOM kwaajili ya
ujenzi wa hospitali itakayoshughulika na kutibu wanawake waliothirika na ugonjwa
wa fistula pamoja na magonjwa ya ulemavu wa watoto jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy
Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment